资讯

Kenya, Uganda na Tanzania zote zimekaribisha uamuzi wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuahirisha michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) iliyocheleweshwa 2024 hadi Agosti 2025, ili kuruhusu ...
NAIROBI, July 15 (Xinhua) -- Kenya will step up security ahead of the delayed 2024 CAF African Nations Championship (CHAN) which opens next month, according to a senior government official.
Makosa yalitokea wapi: Kuanzia mwanzo Kenya imejikokota, ujenzi wa viwanja umechukua muda mrefu kiasi cha shirikisho la kandanda limeipokonya nchi hiyo haki ya kuandaa mashindano ya CHAN.
Kenya imepongeza tangazo la Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) kuwa nchi hiyo itakuwa mwenyeji wa fainali ya Michuano ya Mataifa ya Afrika (CHAN) mwezi Agosti.
Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema michuano ya CHAN inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti, mwaka huu ni zaidi ya michezo ...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF, limeahirisha ziara yake nchini Kenya kwenda kuthathmini utayari wa nchi hiyo kuandaa michuano ya CHAN baina ya wachezaji wanaocheza soka nyumbani mwaka ujao ...