资讯

Zaidi ya watu 100 wameuawa katika wimbi la maandamano hivi karibuni na kusababisha hasira ya umma dhidi ya Rais Ruto.
Wakati Serikali ya Kenya chini ya Rais William Ruto ikipitia misukosuko kutoka kwa wananchi wake, viongozi wa vyama vya ...
Rais wa Kenya William Ruto, siku ya Jumatano amewaonya wale anaoamini kuwa wanataka kuzusha machafuko ili kupindua serikali ...
Rais wa Kenya, William Ruto, ameibua hisia kali miongoni mwa raia wa nchi hiyo, kufuatia matamshi yake akiwataka polisi ...
Waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani, wakidai Rais William Ruto ajiuzulu. Maandamano yalifanyika sehemu nyingi za nchi hiyo Julai 7, yakisababisha makabiliano na polisi. Picha za video ...
RAIS wa Kenya William Ruto ametoa onyo kali kwa wale anaoamini kwamba wanapanga kuiangusha serikali yake, akiachana na wito ...
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa makazi ya polisi jijini Nairobi Rais Ruto aliyeonekana kuwa na hasira alisema yuko ...
RAIS wa Kenya, William Ruto, amesema kwamba yuko tayari kufanya mazungumzo na maelfu ya vijana waliofanya maandamano kwa amani wiki iliyopita kwa lengo la kupinga mapendekezo ya nyongeza ya kodi.
Mazungumzo ya Rais Biden na Rais Ruto siku ya Alhamisi yatajikita kwenye uhusiano wa nchi zao kibiashara na kiusalama, msamaha kwa madeni ya Kenya miongoni mwa mengine.
Ruto: Kenya iko kwenye mkondo mzuri Babu Abdalla 09.11.2023 Rais William Ruto wa Kenya amezitetea sera za serikali ya Kenya Kwanza wakati wa hotuba yake ya kwanza rasmi kwa taifa.
肯尼亚新当选的总统威廉·鲁托(William Ruto)在竞选期间对中国表示强硬,但自上任以来,他已经改变了对北京的立场。
LEO Septemba 13, 2022, Rais Mteule wa Kenya, Dk William Ruto, anaapishwa kuwa Rais wa Tano wa Kenya akitanguliwa na Jomo Kenyatta, Daniel Moi, Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta anayemaliza muda wake.