资讯

Hati miliki za kimila 1,200 zimetolewa kwa wananchi wa vijiji vya Idukilo na Mwaduo Lohumbo wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ...
Watu wawili wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa katika ajali ya gari lililokuwa likisafirisha maiti, iliyotokea ...
Serikali imewataka wawekezaji kutoka Urusi kuchangamkia fursa za uwekezaji zilizopo nchini, hususan katika maeneo ya ...
Dar es Salaam. Msanii wa filamu nchini, Aunty Ezekiel amesema kilichopelekea aitwe na Bodi ya Filamu nchini ni kuchapisha picha chafu kwenye ukurasa wake wa Instagram. Akizungumza na ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amezishauri nchi za Afrika zinapowekeza kwenye miradi ya miundombinu kupitia mifuko ya ...
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema maboresho ya miundombinu ya bandari za Dar es Salaam na Tanga ...
Kuvuna tembo na kupitia upya mipaka ya hifadhi ni miongoni mwa mambo yatakayotekelezwa na Chama cha ACT –Wazalendo, ili kupunguza changamoto ya uharibifu wa mazao na madhara kwa ...
Katika juhudi za kuwawezesha vijana Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wito umetolewa vijana kutambua athari za dawa za kulevya ...
Katika kuhakikisha shule za msingi na sekondari zinafundisha kidijitali, walimu wa shule hizo kutoka maeneo mbalimbali ...
New Jersey, Marekani. Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imethibitisha ubora wake katika soka baada ya kuichapa Real Madrid ...
New Jersey, Marekani. Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) imethibitisha ubora wake katika soka baada ya kuichapa Real Madrid mabao 4-0, sasa ikitarajiwa kuvaana na Chelsea kwenye mchezo wa ...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kupitia Bodi ya Wadhamini wake waliosajiliwa, kimewasilisha maombi ya kumtaka ...