资讯

Zaidi ya watu 100 wameuawa katika wimbi la maandamano hivi karibuni na kusababisha hasira ya umma dhidi ya Rais Ruto.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi wa makazi ya polisi jijini Nairobi Rais Ruto aliyeonekana kuwa na hasira alisema yuko ...
Wakati Serikali ya Kenya chini ya Rais William Ruto ikipitia misukosuko kutoka kwa wananchi wake, viongozi wa vyama vya ...
Rais wa Kenya William Ruto, siku ya Jumatano amewaonya wale anaoamini kuwa wanataka kuzusha machafuko ili kupindua serikali ...
Miaka miwili na nusu baada ya kuingia madarakani Rais wa Kenya, William Ruto anakabliwa na shinikizo za kujiuzulu au ...
RAIS wa Kenya William Ruto ametoa onyo kali kwa wale anaoamini kwamba wanapanga kuiangusha serikali yake, akiachana na wito ...
Rais William Ruto anakabiliwa na changamoto za kisiasa huku kizazi cha Gen Z kikiongoza maandamano ya kupinga gharama za maisha. Serikali yake sasa inakabiliwa na chaguo, kutumia nguvu au kusikiliza s ...
Waandamanaji nchini Kenya wameingia mitaani, wakidai Rais William Ruto ajiuzulu. Maandamano yalifanyika sehemu nyingi za nchi hiyo Julai 7, yakisababisha makabiliano na polisi. Picha za video ...
Vijana wa Kenya, maarufu Gen-Z wameanzisha chama chao cha siasa walichokipa jina la ’47 Voices of Kenya Congress’ ambacho ...