资讯
Gwiji wa mieleka na mwigizaji maarufu, Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71. Kwa mujibu wa taarifa ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa FC, umetangaza kuachana na nyota watano wa kikosi hicho baada ya kutofikia makubaliano ya ...
LICHA ya Chelsea kutaka kumsajili kiungo wa kimataifa wa Uholanzi, Xavi Simons, mabosi wa RB Leipzig wamemjumuisha staa huyo katika kikosi chao kitakachoingia kambini kwa ajili ya maandalizi ...
Mabingwa watetetzi wa Kombe la CHAN, Senegal wameanza vibaya maandalizi ya michuano hiyo baada ya kupoteza kwa mabao 2-1 katika mashindano ya CECAFA Pre CHAN dhidi ya Uganda.
LIGI ya Kikapu Dar es Salaam (BDL) inayoshirikisha timu za wanaume na wanawake, imezidi kushika hisia za wengi huku baadhi ya ...
UONGOZI wa maafande wa Mashujaa, huenda ukaachana na nyota watatu wa kikosi cha kwanza msimu huu, baada ya kutokuwa na ...
MIAKA mitatu tu iliyopita jina la Victorien Adebayor lilikuwa maarufu katika ardhi ya Tanzania ingawa mchezaji huyo wa Niger ...
KLABU ya Yanga imethibitisha kumuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wake, Pacome Zouzoua baada ya ule wa awali kumalizika ...
UONGOZI wa Mbeya City uko katika hatua nzuri za kumsajili aliyekuwa beki wa kushoto wa maafande wa Mashujaa FC, Yahya Mbegu ...
KIJIWE kimelinyooshea mikono gazeti la Mwanaspoti maana ndiyo lilikuwa chanzo cha kwanza kuripoti habari za ujio wa Romain Folz kuja kuwa Kocha Mkuu wa Yanga.
Ni safari ya ndoto kwa Offen Francis Chikola ambaye amejiunga na mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga kwa mkataba ...
ALIYEKUWA Kocha mkuu wa Yanga, Miloud Hamdi aliyepo Ismailia ya Misri, amemchomoa mtaalam mmoja kutoka timu aliyowahi kufanya nao kazi ya Singida Black Stars.
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果